Friday 8 July 2016

HATIMAE CLOUDS TV YAPEWA ONYO NA MAMLAKA YA MAWASILIANO NCHINI TCRA


TCRA Imeitaka Clouds TV kuomba radhi Watanzania kupitia taarifa zake za habari ndani ya siku tano mfululizo kuanzia leo, sababu ya kurusha hewani kipindi cha mahojiano na shoga.

- Adhabu hiyo imetolewa leo na kamati ya Maudhui ya TCRA.
Zaidi, soma 

0 on: "HATIMAE CLOUDS TV YAPEWA ONYO NA MAMLAKA YA MAWASILIANO NCHINI TCRA "