Friday 8 July 2016

ANGALIA ​Polisi wanne wauawa Marekani, ni kufuatia mauaji ya watu wawili weusi

Washukiwa wa mauaji hayo walitishia kutega bomu mtaani.


Tukio hilo limekuja baada ya polisi kuwaua watu weusi wawili katika matukio tofauti. Philando Castile aliuwa akiwa kwenye gari huko Minnesota na Alton Sterling Louisiana aliyeuwa wakati akiuza CD kwenye eneo la kuegesha magari. Watu maarufu akiwemo Beyonce wameendelea kupaza sauti zao kulaani mauaji hayo.

0 on: "ANGALIA ​Polisi wanne wauawa Marekani, ni kufuatia mauaji ya watu wawili weusi"