Friday 8 July 2016

SOMA UJUMBE wa Lulu akiwa na Majay


Majay
Lulu na Majay
Wawili hao ambao kwa sasa mahusiano yao yako wazi zaidi, wamekuwa wakishare picha mbalimbali wakiwa pamoja katika mitandao ya kijamii na kuonyesha jinsi wanapendana.
madina+Pic
Kupitia instagram, Lulu alishare picha akiwa na Majay na kuandika:


Baba Na Mama Squad katika harakati za mapozi. Haikuwa rahisi na Yebo Yebo zangu na kilemba. No make up, Sema poa tu . Goodnight lovies.
Hapo awali, Majay alikuwa anatoka kimapenzi na Hamisa Mobeto na walibahatika kupata mtoto wa kike, Fantasia.
Baada ya kauli hiyo kutoka kwa Lulu, mashabiki katika mitandao ya kijamii wamekuwa na maoni yao juu ya wawili hao.
Maiseyrossa
Hakuna cha kiki hapo hayo ni mahaba niteketeze love you @elizabethmichaelofficial Mungu adumishe furaha yako na malengo yatimie kabisaaaa wenye chuki waaibike

Msangigrace

Ndoa yaja nimeota ujue@elizabethmichaelofficial nlikuwa kijiji no network nlihangaika nikufikishie ujumbe leo.Shikana wangu wee uzur wako hata bila makeup.

Rayacamerun28

Walahi raha mdogo wangu mashaallah Mola awalinde na awadumishe Mfikie malengo yenu

Lilian_ephraim
Aisee tokea nimeanza kukuskia haya ndo mahusiano yako uliyoyaweka wazi hongera umejiamin

0 on: "SOMA UJUMBE wa Lulu akiwa na Majay"